Saturday, December 6, 2014

GHATI MEMORIAL SCHOOL PARENTS DAY 05/12/2014

             PICHA YA BAADHI YA WAZAZI WALIOKUEPO KWENYE KIKAO HICHO
 Baadhi ya wazazi waliofika kwenye kikao hicho ambacho kilikua kikizungumzia tathimini ya ufsufu wa watoto katika shule yetu. kwa utalatibu waliojiwekea wazazi wa memorial kia muhura watoto wanapofunga lazima wazazi waje kuchukua matokeo ya watoto wao na hapo ndipo hupata nafasi ya kuzungumzia changamoto mbali mbali na kutoa mapendekezo yao ikiwa lengo ni kusongesha elimu ya watoto wao
MKURUGENZI WA GHATI MEMORIAL AKIWAHUTUBIA  MAMIA YA WAZAZI WALIOFIKA KWENYW KIKAO HICHO






WAZAZI WAKISIKILIZA KWA UMAKINI TAARIFA YA MKURUGENZI WA GHATI MEMORIAL SCHOOL

BAADHI YA WAZAZI WAKICHANGIA HOJA MBALI MBALI
www.mcroma25@gmail.com 0765656665

No comments:

Post a Comment