Sunday, September 28, 2014

TANZANIA KUONGEZA USHIRIKI WAKE KATIKA OPERESHENI ...

TANZANIA KUONGEZA USHIRIKI WAKE KATIKA OPERESHENI ...: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiwano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akizungumza wakati wa mkutano wa Kilele wa ngazi ya Mawaziri ul...

: WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA WAKIENDELEA NA M...

 WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA WAKIENDELEA NA M...: Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto) na profesa Mark Mwandosya wakifuatilia mjadala bungeni mjini Dod...

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA ZIARANI MKOANI TAN...

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA ZIARANI MKOANI TAN...: Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la mpunga kwenye mradi wa kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge. Mife...

DIAMOND AVUNJA UKIMYA APOST PICHA YA WEMA NA KUANDIKA UJUMBE MZURI SOMA HAPA

DIAMOND AVUNJA UKIMYA APOST PICHA YA WEMA NA KUANDIKA UJUMBE MZURI SOMA HAPA

Wema Sepetu Apost Ujumbe Uliowafumba Wengi....Kuna Utata Mkubwa Hapa

 Wema Sepetu Apost Ujumbe Uliowafumba Wengi....Kuna Utata Mkubwa Hapa: Kuna tetesi kuwa Wema Sepetu na Diamond Platnumz hawapo tena pamoja. Magazeti ya udaku yameandika kuwa Diamond anataka kuoa.. lakini mwanam...

Mwanzilishi wa kampuni ya 'Apple' aliwazuia watoto wake kutumia iPad, iPhone na iPod, Sababu Zipo HAPA

Mwanzilishi wa kampuni ya 'Apple' aliwazuia watoto wake kutumia iPad, iPhone na iPod, Sababu Zipo HAPA: Bidhaa za kampuni ya Apple zina mashabiki na wateja wengi duniani, hii inathibitishwa na foleni kubwa ya watu waliojitokeza kwenye vituo mb...

MEYA WA JIJI LA MWANZA AFUNGUA RASMI MAFUNZO KWA W...

 MEYA WA JIJI LA MWANZA AFUNGUA RASMI MAFUNZO KWA W...: Picha ya pamoja kati ya Mgeni Rasmi, Viongozi wa MPC, Viongozi na Walimu wa Chuo cha DIJ na Wanahabari wanaopata Mafunzo ya Tasnia ya Haba...

DKT BILALI AZINDUA Kivuko Kipya cha MV Tegemeo jij...

DKT BILALI AZINDUA Kivuko Kipya cha MV Tegemeo jij...: Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa kivuko hicho kipya cha MV Tegemeo. ...

Saturday, September 20, 2014

KUMEKUCHA GHATI MEMORIAL SCHOOL

KUMEKUCHA GHATI MEMORIAL SCHOOL
Vijana 32 watunukiwa vyeti kwa kuhitimu elimu ya musingi katika shule ya msingi Ghati memorial school kushoto mwa meza ni mkurugenzi wa Ghati memorial kati ni aliyekuwa mgeni rasmi na kuria ni afisa elimu kata ya sokoni-1

MAHAFALI YA KWANZA YA DARASA LA SABA KATIKA SHULE YA GHATI MEMORIAL

MAHAFALI YA KWANZA YA DARASA LA SABA KATIKA SHULE YA GHATI MEMORIAL

Wahitimu wakiimba nyimbo ya kusikitishwa kuondoka katika shule ya ghati memorial kwani walikua wameizoea na waliishi kama ndugu shuleni hasa pale walipoku bodingi maisha likua mazuri zaidi ya nyumbani ni moja kati ya nyimbo zilizokuwa zinaonyesha uhalisia wa jinsi memorial inavyoishi na wanafunzi vizuri

Sunday, September 14, 2014

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWASILI TANGA KWA ZIARA ...

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWASILI TANGA KWA ZIARA ...: Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja w...

KIVUKO CHA MV KIGAMBONI CHAANZA KUFANYA KAZI JIJI...

 KIVUKO CHA MV KIGAMBONI CHAANZA KUFANYA KAZI JIJI...: Kivuko cha MV KIgamboni kikiwa majini kuelekea eneo la Ferry kwa ajili ya kuanza kutoa Huduma ya Usafiri. Abiria wakiingia kwenye ...

MCHAKATO WA KATIBA KUSITISHWA TANZANIA

MCHAKATO WA KATIBA KUSITISH

WA TANZANIA

: PICHA ZINATISHA SANA: MWANAMKE AUWAWA KIKATILI

 PICHA ZINATISHA SANA: MWANAMKE AUWAWA KIKATILI: Baba mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Kaga mkazi wa Mwanga Kisangani ''B'' ji rani na Saigoni amemuua mpenzi wake k...

GHATI MEMORIAL SCHOOL STAFF

 staff teachers
Hii ni staff ya walimu wote wa shule ya ghati memorial.ghati memorial ni shule ya kutwa na bweni kwa wanafunzi wote shule ni ya mchanganiko wavulana na wasichana.shule iko engosheraton-unga limited arusha shule ina waalimu wa kutosha na wanaokidhi mahitaji ya shule ,shule ni ya english medium masomo yote yanafundishwa kwa kingeleza isipokuwa tu somo la kiswahili wanafunzi wote wanaongea kingereza 
ghati memorial pupils