Sunday, September 14, 2014

GHATI MEMORIAL SCHOOL STAFF

 staff teachers
Hii ni staff ya walimu wote wa shule ya ghati memorial.ghati memorial ni shule ya kutwa na bweni kwa wanafunzi wote shule ni ya mchanganiko wavulana na wasichana.shule iko engosheraton-unga limited arusha shule ina waalimu wa kutosha na wanaokidhi mahitaji ya shule ,shule ni ya english medium masomo yote yanafundishwa kwa kingeleza isipokuwa tu somo la kiswahili wanafunzi wote wanaongea kingereza 
ghati memorial pupils

No comments:

Post a Comment