Wahitimu wakiimba nyimbo ya kusikitishwa kuondoka katika shule ya ghati memorial kwani walikua wameizoea na waliishi kama ndugu shuleni hasa pale walipoku bodingi maisha likua mazuri zaidi ya nyumbani ni moja kati ya nyimbo zilizokuwa zinaonyesha uhalisia wa jinsi memorial inavyoishi na wanafunzi vizuri
HAYO NI BAAZI YA MAANDALIZI YA CHAKULA
MEMORIAL STAFF
No comments:
Post a Comment