Thursday, October 9, 2014
MKURUGENZI WA GHATI MEMORIAL FOUNDATION ATOA MSAADA WA KUPAUA NYUMBA YA MWALIMU KATIKA SHULE YA MSINGI MTAA HURU HUKO TARIME
Aiwa katika shughuli zake za kawida mkurugenzi wa ghati memorial school MH MICHAEL MWITA (KEMBAKI) ametembelea shule moja huko mkoani mara iliyoko katika wilaya ya tarime katika kijiji kimoja,SHULE YA MSINGI MTAA HURU ambapo amekutana na changamoto mbalimbali ikiwemoukosefu wa vyumba vya kutosha vya madarasa upungufu wa nyumba ya za walimu na nyingine nyingi mkurugenzi huyo akiwahutupia wananchi ambapo amewataka kuwa na mshikamano uliyo imara ili waweze kuijenga tarime iliyo na wasomi pamoja na maendeleo na kuwasisitiza kujitahidi kuwapatia elimu bora wanao kwa ajiri ya taifa la kesho amejitolea kupaua nyumba moja ya mwalimu na kuwataka wananchi kumpa ushilikiano wa kutosha ili kufanikisha hilo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment