Katika uzinduzi wa ligi ya mpira wa miguu wilayani tarime ambao ulifanyika 30/09/2014 katika viwanja vya serengeti wilayani tarime mkoani mara.MH MICHAEL MWITA KEMBAKI ambaye ni mdhamini wa mashindano hayo amehutubia maelufu ya watu waliokusanyika katika viunga
Katika uzinduzi wa ligi ya mpira wa miguu wilayani tarime ambao ulifanyika 30/09/2014 katika viwanja vya serengeti wilayani tarime mkoani mara.MH MICHAEL MWITA KEMBAKI ambaye ni mdhamini wa mashindano hayo amehutubia maelufu ya watu waliokusanyika katika viunga hivyo amewasihi kuwa watu wenye umoja watu wasio na majungu na watu wanaopendana ili kuijenga tarime kwa pamoja <Tarime ni yakwetu sisi wenyewe tunatakiwa tuijenge kwa pamoja usifikilie kuwa hata wilaya zilizoendelea zimezaliwa zikawa zimejengeka,ni watu walikaa na wakatafuta namna ya kuziendelza na leo zimeendelea tunakimbilia huko kumbe basi hata sisi wenyewe tunaweza tukaka chini tukajipanga na tukaijenga tarime ikafahamika kila pande ya dunia,isitoshe mungu ametupatia mali ambazo hatunufaiki nazo tunao mgodi,tunayo boda na mali nyingi tu ambazo wanazifaidi wachache.lakini hayo yote hayawezi kuwezekana endapo hatutakua na viongozi bora,hayatawezekana endapo hatutaua na umoja ,ushikamano na amani.naamini kila kitu kinawezekana tujiwekee malengo>baada ya hotuba fupi ambayo wananchi waliipokea vyema kutokana na kuwa kipindi chote alichokua akizungumza nao walikua makini na utulivu wa hali ya juu ulikua umetawala ndani yao MH:MICHAEL MWITA KEMBAKI alizindua rasmi ligi hiyo na kuahidi kuwapa ushilikiano wa kutosha mpaka kufikia tamati.Alimaliza kwa kusema <NAWAPENDA SANA MUNGU AWABARIKI>
No comments:
Post a Comment